NIPASHE JUMAPILI

21Nov 2021
Abdallah Khamis
Nipashe Jumapili
-na fursa nyingine za kibiashara zinazopatikana mkoani humo.Amesema uamuzi huo umetokana na tathmini yao juu ya wanawake aliowataja kuwa ndiyo watunzani na wahudumiaji wakuu wa mazao hayo huku wengi...

Rais Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya ngalawa kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar, Swahiba Kisasi wakati wa mkutano ulioandaliwa na jumuiya hiyo, kwa ajili ya kumpongeza katika Viwanja vya Maisara Zanzibar jana. PICHA: IKULU

21Nov 2021
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Alitoa kauli hiyo jana mjini Zanzibar alipohutubia mkutano wa hadhara uliotayarishwa na Umoja wa Wanawake (UWT) kwa ajili ya kumpongeza kufuatia mafanikio ya majukumu yake.Alisema asili yake ni tunda...

Moto ukiteketeza hoteli nne za kitalii katika eneo la Jambiani, Mkoa wa Kusini Unguja juzi jioni. PICHA: MPIGAPICHA WETU

21Nov 2021
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Moto huo umeteketeza hoteli nne ambapo tatu kati ya hizo, hakuna kilichotolewa zaidi ya watalii waliokuwamo.Akizungumza na Nipashe jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Suleiman Hassan,...
21Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-hata siku moja wakati wanapofanya tendo la ndoa.Tukio hilo limetokea wakiwa nyumbani kwao Igembe, Chifu wa eneo hilo la Ntunene aitwaye Edward Mutalii amesema alipata taarifa na alipofika eneo la...

​​​​​​​Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge.

21Nov 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, alisema jana kuwa  amepokea taarifa kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwa wamewasha mtambo wa kuzalisha maji wa...
14Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Avuna mamilioni kila nusu mwaka
Monica, mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka minne, amekuwa mfano wa kuigwa wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa kujikita kwenye kilimo hicho ambacho kimemwezesha kumudu maisha yake, pia kuendesha...

Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahafali ya 56 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam ambapo wahitimu 800 walitunukiwa shahada kwenye fani mbalimbali.

14Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ushauri huo ulitolewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof.  Kitila Mkumbo, wakati wa mahafali ya 56 ya chuo hicho yaliyofanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo ambapo wahitimu 800...

Kikosi cha timu ya Rifa FC kinachotarajiwa kuvaana na mabingwa watetezi wa Umoja Cup, Shirati Mji, kwenye mechi ya robo fainali itakayopigwa Jumatatu ijayo katika Uwanja wa wa Maji Sota, Rorya mkoani Mara. MPIGAPICHA WETU

14Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika michuano hiyo ambayo huu ni mwaka wa tisa ikifanyika Uwanja wa Maji Sota, huku ikidhaminiwa na mdau maarufu wa soka wilayani humo, Peter Owino, timu zilizofanikiwa kutinga robo fainali ni...
14Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Chongolo amesema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujiingiza kwenye mfuko huo  wa TASAF kama walengwa pidi wanapostaafu.“Siku hizi imekuwa fasheni, mtu akifikisha miaka...
14Nov 2021
Restuta Damian
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo ,Hamid Njovu amesema hayo Leo wakati akizungumza na Waandishi habari mjini humo.Amesema, katikawatahiniwa hao  inaidadi ya wavulana 1292 , wasichana 1385...
14Nov 2021
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Mradi huo utatekelezwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Manispaa za Kinondoni, Ubungo na Halmashauri ya Wilaya ya...
14Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza juzi jijini Mbeya katika uzinduzi wa mradi wa urejeshwaji endelevu wa mazingira na hifadhi ya bioanuai, Chande alisema utafiti umebainisha kila mwaka nchi hupoteza wastani wa takribani...
14Nov 2021
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Dk. Kijaji alibainisha hayo jana jijini Dodoma wakati akifungua semina ya uelewa wa pamoja kwa wakuu wa mikoa kuhusu mpango wa usambazaji wa mfumo wa anuani za makazi nchini.Alisema hivi sasa...
14Nov 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea Kifimbo cha Malkia, ikiwa ni kiashirikia cha kuanza kwa michezo hiyo inayotarajiwa kufanyika Uingereza kuanzia Julai mpaka Agosti...
14Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kiongozi huyo wa kiroho amesema wafanyabiashara hao walivamia eneo la kanisa na kuanza kujenga vibanda na wengine kugeuza sehemu ya kuhifadhi bidhaa zao, kitendo kinachowafanya washindwe kushiriki...
07Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
"Watu wengi wanasema we Bwana vipi ujue ni mbunge wa kuteuliwa ,vipi kuhusu jimbo? Sasa niwatangazie sina hata mpango wa kugombea jimbo kwa sababu si kitu ninahisi nina utume nacho kwa hiyo...
07Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Pia amesema Kiongozi huyo alimheshimu kila mtu bila kujali umri wake wala cheo alichonacho na hivyo kumfundisha mbinu nyingi za uongozi."Maalim Seif alikuwa kwanza Mshauri wetu wa chama na...
07Nov 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alisema tofauti na wana CCM wengine Rais Karume na Maalim Seif walikuwa wameamua kwa dhati kuzika tofauti za kisiasa katika visiwa hivyo na kuachana na siasa zilizowagawa Wazanzibari.Duni akizungumza...
07Nov 2021
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Mambo hayo yanatajwa kuwa ni kumtanguliza Mungu,uongozi bora,walimu bora,nidhamu kwa darasa la Saba,wazazi kulipa ada kwa wakati na the big result now.Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shule...

Ofisa Masoko wa kiwanda Cha Nyama Cha Eliya Food Overseas Limited Razaq Mwamwetta

07Nov 2021
Zanura Mollel
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe Ofisa Masoko katika kiwanda hicho Razaq Mwamwetta alisema uzalishaji unaendelea kila siku na na wafugaji hupelekea mifugo ,huku soko lao kubwa la nyama ikiwa ni nchi za falme...

Pages