NIPASHE JUMAPILI
Oscar Munisi ambaye ni mwenyekiti wa makandarasi Mkoa wa Mwanza akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Injinia Consolata Ngimbwa mara baada ya kufungwa kwa mafunzo ya siku tatu kwa makandarasi wazalendo kuhusu usimamizi wa fedha. Kushoto ni Naibu Msajili wa CRB, anayeshughulikia utafiti na maendeleo Injinia David Jere.
26Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki mkoani Mwanza na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, Mhandisi Consolata Ngimbwa wakati akifunga mafunzo ya siku tatu kwa makandarasi wazalendo.Alisema...
26Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalitokea kwenye mahafali ya 14 ya shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo mkoa wa Pwani na kuhudhuriwa na wazazi na walezi wa wanafunzi hao.Rogers Titus na wenzake waliweza kuwashangaza wageni...
26Sep 2021
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Akizungumza Jana wakati wa kufungua mkutano wa wadau wa ndizi wa Kanda ya Kaskazini uliofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro amesema kwa sasa tayari serikali imepata masoko na kuwataka wakulima...
26Sep 2021
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo Septemba 20, mwaka huu majira ya saa moja asubuhi huko nyumbani kwake Kianga, Wilaya ya Magharib A Unguja.Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
26Sep 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Meneja Mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kuthibiti Magonjwa Yasiyoambukiza kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Omary Ubuguyu, aliyasema hayo jana katika maadhimisho ya...
26Sep 2021
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Amebainisha kuwa kampuni tano zimejitoleza kuwekeza kwenye eneo hilo, nne zikitoka nje ya nchi na moja kutoka Tanzania.Prof. Mkumbo aliyasema hayo juzi mkoani Dar es Salaam wakati wa kutia saini...
26Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam jana mchana, Rais Samia alilakiwa na wananchi waliobeba mabango yenye ujumbe wa kumpongeza kwa...
19Sep 2021
Zanura Mollel
Nipashe Jumapili
Mwakilishi wa wanawake Naini Lukumay alisema kukosekana kwa huduma za afya kwenye eneo hilo hupelekea wakinamama kujifungua kwa njia isiyokuwa salama .Alisema vifo vya mama na mtoto vinaweza kutokea...
19Sep 2021
Steven William
Nipashe Jumapili
Mashabiki wa tawi hilo walifika katika shule hiyo kwa maandamano kutoka kwenye tawi lao na kupitia Kituo Kikuu cha mabasi Muheza, mtaa wa Amtico, Majani Mapana, Mbaramo mahakamani hadi kuingia kwenye...
19Sep 2021
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
***Wakati Simba Day ya kibabe leo huku Azam FC ikitakata CAF...
Yanga itashuka dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji wao, walipokutana katika mechi ya kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.Msemaji wa Yanga, Haji...
19Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wadau wengi wa ushirika nchini wamekuwa na mtazamo kwamba matatizo sugu ya ushirika nchini yanatokana na sababu mbalimbali na miongoni mwake ni upungufu wa sheria inayosimamia sekta ya ushirika...
19Sep 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, aliyasema hayo juzi jioni wakati Tanzania na India zikisherehekea ushirikiano huo ambao ulianza mwaka 1972 na kuwezesha Watanzania...
19Sep 2021
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Agizo hilo lilitolewa jana mkoani hapa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka, alipofanya ziara kwenye uwanja mpya wa ndege Mtwara na kuzungumza na abiria walioshuka ikiwa ni mara...
19Sep 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Prof. Luhanga, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe,...
Mshindi wa shindano la ‘Kapu la Wana’ linalodhaminiwa na bia ya Pilsner Lager Jackline Minja (kushoto) akipokea zawadi ya Kompyuta kutoka kwa mgeni rasmi Afisa Tarafa Manispaa ya Morogoro Winfred Kipako kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Morogoro . Jackline alishinda vifaa mbalimbali vya studio za picha zenye Thamani ya Tsh milioni 10.
12Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kupitia kampeni ya ‘Kapu la Wana’, bia ya Pilsner imetenga kiasi cha shilingi milioni 50 ambazo zitatolewa kwa washindi watano ambapo kila mmoja atajishindia vifaa kwa ajili ya kukuza...
12Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo limetokea Septemba 9, 2021, ambapo amesema mwanaume huyo alimkata mkono mkewe na kuzimia kwa kipigo."Inadaiwa mwanaume huyo...
05Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uamuzi wa kusitisha leseni ya gazeti hilo unatokana na mwenendo na mtindo wa uandishi wa habari na makala ambao kwa kiasi kikubwa unakiuka misingi ya maadili ya taaluma ya habari kwa na makala ambao...
05Sep 2021
Shufaa Lyimo
Nipashe Jumapili
Mwakinyo aliibuka mshindi dhidi ya bondia huyo raia wa Namibia katika pambano la raundi 12 lililofanyika juzi.Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa pambano hilo, Mwakinyo alisema siri kubwa ya...
05Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema jana kuwa sababu za kufanyika kwa uchaguzi huo ni madiwani husika kufariki na mmoja kukosa sifa ya uraia.Alisema uchaguzi huo unafanyika...
05Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aidha, wako waliotumia miezi 18 yaani siku 563 kupata vitambulisho hivyo kutokana na kusuasua kwa uzalishaji kwa kile kilichoelezwa ni ubovu na kutotumika kwa mashine za uzalishaji kwa kiwango...
