NIPASHE JUMAPILI
22Aug 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
NEC yataka sheria mpya ya uchaguzi ili itekeleze majukumu yake kwa ufanisi
Amesema wa masuala ya kiufundi, mathalani pale mtu anapokosea kuandika herufi za jina lake au za chama chake, yasitumike kumnyima haki ya kushiriki uchaguzi.Mkuu wa nchi aliyasema hayo jana Ikulu...
15Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo umeafikiwa katika siku ya pili ya kikao cha baraza hilo linaloendelea huko Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kuandaa mkutano wa 41 wa wakuu wa nchi na serikali na hivyo kuidhinisha...
15Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-ujenzi huo.Mhandisi Kasekenya ameyasema hayo mkoani Njombe mara baada ya msafara wake kusimamishwa na wananchi wa Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa ambapo wamelalamikia ujenzi wa daraja hilo kuchukua...
15Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Takwimu hizo zimetolewa leo Agosti 15, na Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Omar Khamis, wakati akisoma taarifa za kesi za dawa za kulevya kwa...
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Matiko Mniko (kati kati) akikuzindua rasmi kampeni ya ‘Take a Bite out of Life’ inayoendeshwa na Bia ya Serengeti Lite na ambayo inalenga kuvumbua vipaji vya Ma DJ chipukizi. Kulia na Meneja Mwandamizi wa Chapa kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (Senior Brand Manager, mainstream beer) Wakyo Marando na kushoto ni mmoja wa majaji wa shindano hilo, DJ Zero.
15Aug 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kampeni hiyo inalenga kuwafanya wateja wa Serengeti Lite kufurahia ladha ya kipekee ya bia hiyo ya Kitanzania, iliyotengenezwa Nchini kwa ajili ya Watanzania huku wakionyesha vipaji na uwezo wao.Kwa...
15Aug 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Ofisa Mfawidhi Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Kanda ya Dar es Salaam, Nahshon Mpula, alibainisha hayo jana alipomwakilisha Mkurugenzi Mkuu wake katika kikao cha maadhimisho ya Siku ya Vijana...
15Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Utafiti unaonyesha kuwa, asilimia 90 ya sababu za kuvunjika kwa ndoa ni hutokana na mawasiliano mabaya ya wanandoa. Wanandoa wanahitaji kufahamu ukweli huu na kujifunza kuishi kwa utaratibu na...
15Aug 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
"Nenda kachanjwe acha kusikia maneno ya porojo porojo hizi, vaa barakoa, tumia vitakasa mikono na maji tiririka, acha kiburi, kiburi cha mtu kitamshusha," alionya Askofu Kakobe jana.Alisema...
15Aug 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
RC Gabriel ametoa wito huo wakati akifungua kikao cha Mkoa cha tathimini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe, chanjo mpya ya Covid-19, huduma za kudhibiti maambukizi ya ukimwi pamoja na huduma ya afya...
15Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Muslim amesema kuwa awali Waziri Mkuu alitembelea Mashamba ya Mkulanzi na baadae kwenda kiwanda cha kuchakata nyama cha Mbigiri ambapo wakiwa njiani kuelekea kwenye kiwanda hicho ndio walipata...
08Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msemaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kahama, Joakimu Simbila, amesema awali ratiba ilikuwa mwili wa Kwandikwa uwasili na kufanyiwa ibada katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Carol Lwanga na...
08Aug 2021
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Muhimbili: 80% wanaougua saratani ya mapafu ni waraibu wa tumbaku, Kila wiki kuna wagonjwa wapya saba
Uchunguzi wa Nipashe Jumapili uliofanyika kwa wiki kadhaa katika mkoa huo wa kibiashara, umebaini biashara hiyo imeshamiri kwenye baadhi ya maeneo yakiwamo Mwenge kwa wauza vinyago, stendi za...
08Aug 2021
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi wa Kuratibu Utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk. Paul Kazyoba, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam juzi alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu...
08Aug 2021
Daniel Sabuni
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa waraka wa Askofu Mkuu Jimbo hilo, Isaac Amani, ulioandikwa kwa mapadre, watawa na Halmashauri ya Walei na uliosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ya vikundi vya kidini jimboni...
08Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema hayo katika taarifa aliyotoa leo Agosti 8, 2021 huku akisema kuwa, Serikali bado inaendelea kuboresha huduma za upatikaji wa vyeti kwa kukamilisha utaratibu wa kuhama kutoka kwenye...
01Aug 2021
Dotto Lameck
Nipashe Jumapili
Rais Samia ametoa pongezi hizo leo Agosti 1, katika ukurasa wake wa Twitter ambapo ameandika :-“Nawapongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 kwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Afrika...
01Aug 2021
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Biteko amebainisha hayo leo wakati akifunga maonesho ya Biashara na Teknolojia ya madini mkoani Shinyanga, kuwa Serikali imedhamilia kuinua Sekta ya Madini, pamoja na kumaliza migogoro yote ambayo...
01Aug 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Akifungua kampeni hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel, amesema chochote kile kinaweza kikavunjwa ili reli iweze kupita sawasawa hivyo uvunjaji huo ukigusa mali ya wananchi italipwa...
01Aug 2021
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Bulyanhulu, Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Abdalah Kombo, alisema jana kuwa watu hao walikamatwa juzi majira ya saa sita usiku.Alisema kuwa askari...
01Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ahadi hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ulioongozwa na...
