NIPASHE JUMAPILI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro (katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania Paris, Mhe. Samweli Shelukindo (kushoto) pamoja na Waziri wa Utalii wa Sao Tome, Carlos Gomes  wakifuatilia wakati Rais wa Cape Verde, Dkt. Jorge Carlos Fonseca,akifungua rasmi Mkutano wa  Kimataifa wa  64 wa Utalii Kanda ya Afrika  ulioandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UNWTO) unaoendelea  kufanyika katika kisiwa cha SAL  nchini Cape Verde, Mkutano huo umewakutanisha Mawaziri wa Utalii 30 lengo likiwa ni kujadili mustakabali wa utalii Barani Afrika na Duniani kwa ujumla.

05Sep 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Mkutano huo, utajumuisha Mawaziri wote wa Utalii wa Bara la Afrika huku ukitarajia kuongeza tija kwa Tanzania kwenye fursa za kukuza Utalii Kimataifa.Akizungumza nchini hapa katika kisiwa cha SAL,...

Muonekano wa Soko la Didia wilayani Shinyanga, ambalo limetelekezwa na Wafanayabiashara kwa madai ya kukosa wateja.

05Sep 2021
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mtendaji wa kijiji cha Didia wilayani Shinyanga Masano Kwiyela, amebainisha hayo jana wakati Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko alipotembelea soko hilo.Kwiyela akizungumza kwa niaba ya...
05Sep 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo na wananchi wa eneo hilo Waziri Mkuu amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho ambacho...

Meneja wa kituo cha uwekezaji (TIC) Kanda ya Kaskazini Daud Riganda.

29Aug 2021
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe ofsini kwake, Meneja wa kituo cha uwekezaji (TIC) Kanda ya Kaskazini Daud Riganda, amesema  sekta iliyofanya vizuri zaidi katika uwekezaji ni viwanda ambapo miradi 14 sawa...
29Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yasema ni zaidi ya mtoko na burudani, milango kufunguliwa kuanzia saa tatu asubuhi, nyota watua...
Yanga leo inahitimisha Wiki ya Mwanachi baada ya shughuli mbalimbali za kijamii zilizofanyika kupitia wanachama, mashabiki na viongozi wa klabu hiyo kote nchini kwa muda wa wiki nzima, ambapo...

Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel.

29Aug 2021
Saada Akida
Nipashe Jumapili
- nao mechi ya kirafiki, imefahamika.Akizungumza na gazeti hili jijini jana, Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga, alisema baada ya kurejea nchini, wachezaji watapewa mapumziko ya siku mbili na...
29Aug 2021
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alibainisha hayo jana jijini Dodoma alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu utoaji wa chanjo ya UVIKO-19.Alibainisha kuwa tangu kuanza kwa utoaji wa...
29Aug 2021
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alibainisha hayo jana, jijini Dodoma alipofungua mkutano wa wahariri na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).Alisema wanufaika wakuu wa kwanza wa mpango huo...
29Aug 2021
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akifunga Tamasha la Kizimkazi jana kijijini huko anakotoka, Rais Samia alisema: "Nipo tayari kuwaletea maendeleo, hiki ni kijiji nilichozaliwa, baba yangu na mama yangu wamezikwa kijijini hapa,...
29Aug 2021
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alibainisha hayo jana jijini hapa alipokuwa akitoa taarifa ya utekelezaji ya serikali katika mambo mbalimbali.Akijibu swali kuhusu hatua iliyofikiwa na...

daktari Khadija Abdulrahman Omar.

29Aug 2021
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe ofisini kwake Kidongochekundu Mjini Zanzibar, amesema tatizo hilo ni maradhi kama yalivyo maradhi mengine hivyo ni vyema kufuata tiba haraka.Amesema mtu aliefikia umri wa miaka...

Mkurugenzi wa shule za St Mary's Mutta Rwakatale akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo wanaomaliza darasa la saba kwenye mahafali yaliyofanyika shuleni hapo. Kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Jacob Mwangi.

29Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alitoa wito huo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika  kwenye shule ya St Mary’s Mbagala mkoani Dar es Salaam,...
29Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Khamis  Hamza  Chilo,  alipofanya ziara, alfajiri ya kuamkia...
29Aug 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Agizo hilo limetolewa leo na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa, alipokuwa akitokea Mkoani Katavi katika ziara yake ya kukagua ujenzi wa barabara kutoka mkoani wa Katani hadi Tabora ambapo alipokelewa kwenye...
29Aug 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa, alipokuwa akikangua miundombinu ya shule  kongwe za serikali za  sekondari ya Tabora walavuna na wasichana mkoani humo.Amesema...

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.

29Aug 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, wataalamu wa walezi na ubia huo wanaenda mbali kwamba mapenzi ni kipengele tu na kuna mazito katika tafsiri 'maisha'.Hapo katika tafsiri kuu 'maisha' ndiyo leo hii...
22Aug 2021
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akitoa taarifa maalum kwa waandishi wa habari wizarani kwake Mazizini jana, Waziri Simai Muhammed Said alisema wizara imejiridhisha kuwa tukio hilo ni la kijinai lisilopaswa kufanywa na walimu na...
22Aug 2021
Jaliwason Jasson
Nipashe Jumapili
Licha ya kumzuia kupita katika barabara hiyo, haikutosha shemeji zake hao waliamua kujenga kaburi feki ili kuwazuia kupita na kwenda kwenye shughuli zao ikiwamo kupitisha mazao.Akizungumzia kisa...

Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu.

22Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kimesema baadhi ya wananchi watalipa kiwango kikubwa zaidi kutokana na nyumba wanazoishi kuwa na zaidi ya mita moja ya Luku.Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu...

Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima (CCM).

22Aug 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, wabunge hao wanatakiwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa mujibu wa Kanuni ya 4(1) (a) na (b)...

Pages