NDANI YA NIPASHE LEO

22Feb 2024
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, BoT imesema inaendelea na utafiti wa kina wa sarafu mtandaoni ili kuhakikisha nchi haiingii kwenye mtego wa wajanja na kusababisha madhara ikiwamo sarafu kupotea.Akiwasilisha hivi karibuni...
22Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Hali hiyo inatokana na baadhi ya wagonjwa kuamini katika kuombewa na kupona maradhi hayo hivyo kuacha kujishughulisha na matumizi ya dawa za kufubaza virusi.Sababu zingine ni baadhi ya waathirika...
22Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kuhakikisha Awamu ya Pili ujenzi wa kiwanda cha kuchakata bidhaa za ngozi Kilimanjaro unakamilika na kuanza kufanya kazi ifikapo Julai 2024. Agizo hilo amelitoa leo Februari 22, 2024...

Mjane wa 'nyama ya swala' Maria Ngoda.

22Feb 2024
Francis Godwin
Nipashe
Novemba 3, mwaka jana, mjane huyo alihukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kukamatwa akiwa na vipande 12 vya nyama ya swala, hukumu iliyozua mjadala mkali kitaifa, hata kukatiwa rufani....

​​​​​​​MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Gehaz Malasusa.

22Feb 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Mabadiliko hayo yanatokana na uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Kanisa hilo, iliyokaa Februari 12 na 13, mwaka huu katika Hoteli ya Arusha Corridor Springs jijini Arusha pamoja na mambo mengine...
22Feb 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Amesema viongozi wote wanaotokana na CCM wanatarajiwa kuwa watumishi wa wananchi waliowachagua, wakiwatumikia kwa nguvu zao zote, wakiweka maslahi ya umma na Watanzania mbele wakati wote, kabla ya...
22Feb 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na kushamiri kwa biashara hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Kinondoni, Philipo Mwakibete, amepiga marufuku  biashara hizo kufanyika katika masoko yote kwenye mamlaka hiyo ya...

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa.

22Feb 2024
Nipashe
“Mbali ya kutekeleza wajibu wetu wa kikatiba, uchaguzi ujao pia unasheherekea safari yetu ya kidemokrasia na azma ya siku zijazo ambazo wote tunatamani” amesema Rais Ramaphosa.VOA...
22Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tanzania yachungulia fursa ya makaa ya mawe
Nchi ya Thailand inatajwa kupiga hatua kubwa kwenye masuala ya teknolojia mbalimbali hususan zinazohusisha shughuli za uongezaji thamani madini jambo ambalo limepelekea nchi hiyo kuwa kitovu cha...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa.

22Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na nchi kukabiliwa na uhaba mkubwa wa bidhaa hiyo, hivyo kusababisha kuuzwa kwa magendo na bei ya juu katika baadhi ya maeneo, serikali ilichukua hatua ya kuagiza kutoka nje ili kupunguza...
22Feb 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Tukio hilo limetokea baada ya madalali wa kukodishwa kufika eneo hilo linalodaiwa kuwa na mgogoro wa ardhi kati ya kikongwe Chiku Athumani na kigogo ambaye jina lake halikutajwa, anayedaiwa kununua...
22Feb 2024
Adela Madyane
Nipashe
-zikiwa na nembo ya jeshi hilo.Akizungumzia tukio hilo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Filemon Makungu amesema mtu huyo alikamtwa na askari waliokuwa katika doria eneo la Burega...
22Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mchakato wa kupata washindi wa Tuzo hizo za Benki Bora za Biashara kwa mwaka 2024 ulihusisha tathmini ya kina ya mawasilisho na tafiti huru, pamoja na maoni kutoka kwa wataalamu wa kisekta na...

Miili ya marehemu ikitolewa ndani ya nyumba waliyokuwa wakiishi.

21Feb 2024
Adela Madyane
Nipashe
Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa kutumia kilemba cha kiume cha kuvaa kichwani.Akielezea chanzo cha tukio hilo lililotokea usiku wa kuamakia leo...

Afisa Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu.

21Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Afisa Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu ametoa ahadi hiyo mbele ya Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi alipotembelea banda la benki hiyo kwenye Mkutano wa pili wa wadau wa sekta utalii...
21Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Diwani wa kata ya Biharamulo mjini, David Mwenenkundwa, ameiambia Nipashe Digital kuwa watu hao (hakuwataja majina) walipoteza maisha kwa nyakati tofauti mwaka jana baada ya kuanguka kwenye daraja...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa.

21Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo za Wizara zilizoko Magogoni jijini Dar es Salaam. Waziri Mchengerwa,  amesema Serikali kupitia Tangazo la Serikali namba 40 lililotolewa mwezi...
21Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Akizungumza na Nipashe Digital shuhuda wa tukio hilo ambaye pia ni Diwani wa viti maalumu kata ya Nyakahura, Ziyuni Hussein, amesema kuwa alipokea taarifa za tukio hilo kwa njia ya simu kutoka kwa...

Husna Sungura (kushoto) akipokea fomu ya kuwania nafasi ya ujumbe wa Kamati Kuu Kanda ya Pwani. anayemkabidhi kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi, Idrisa kweweta. PICHA HALFANI CHUSI

21Feb 2024
Halfani Chusi
Nipashe
Husna ambaye ni pia kwa sasa ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Taifa Pwani ametamba kuwa atakuwa kipaumbele kuwatetea wanawake katika vikao vya chama. “Nitazisema changamoto za...
21Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Abood amejionea hali hiyo baada ya kufanya ziara ya kikazi kwenye Kata ya Mkundi na kupokelewa Diwani wa Kata hiyo, Seif Zahoro Chomoka pamoja na Diwani wa Viti Maalum, Grace Mkumbae, viongozi wa...

Pages