NIPASHE
30Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kipre Tchetche alikuwa shujaa wa Azam aliposawazisha dakika ya mwisho goli la Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Kenya msimu uliopita, Jesse Were.
Azam FC, mabingwa wapya wa Afrika Mashariki na Kati, waliyaanza mashindano hayo kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya mabingwa wa Zambia, Zesco United Jumatano.
Ilikuwa sare ya pili mfululizo kwa timu hizo...
29Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Hata hivyo, Samatta amekwenda huko bila ya barua kutoka kwa mwajiri wake wa zamani, Mabingwa wa Afrika -- TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Meneja wa nahodha huyo wa Timu ya...
29Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Taarifa zinadai kuwa sababu kubwa ya kukwepa kuendelea na mkataba huo ni kutokana na kushindwa kukidhi mahitaji.
Mmoja wa viongozi wa klabu hiyo bila kutaka jina lake kuandikwa, alisema TBL...
29Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo kongwe zaidi katika ligi ya Bara kwa pamoja na zimefunga magoli 27 na kuruhusu mabao sita katika mechi zote 15 zilizocheza mwaka huu. Yanga na Simba.
Ikiufungua mwaka kwa ushindi wa bao pekee la Ibrahim Ajibu mjini Mtwara, Simba imecheza mechi nane mwezi huu ikishinda sita dhidi ya Ndanda (1-0), URA (1-0), JKU (1-0), Mtibwa Sugar (1-0), JKT Ruvu (...
29Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Vituo vya daladala katika barabara kuu za maeneo tofauti ya miji hasa katikati ya miji, jiji yaashiria umuhimu wa ujenzi wa vituo ndani ama pembezoni mwa barabara
Ka namna yoyote ile, ujenzi huo...
29Jan 2016
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, jana alithibitisha ajali hiyo iliyotokea juzi saa 1:30 usiku, wakati kivuko hicho kikitokea Ulanga kuelekea Ifakara kwa kupigwa dhoruba kali....
29Jan 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Tukio hilo lilitokea Desemba 31, mwaka jana, saa 3:00 usiku, kwenye kituo cha usafiri cha Buza, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na Nipashe, jijini Dar es Salaam juzi, dereva huyo wa...
29Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mali hizo ni zilizopatikana kupitia kesi zinazohusiana na uhalifu na udanganyifu wa kujipatia mali kwa njia haramu, kama kusafirisha wanyamapori, rushwa, dawa za kulevya na usafirishaji haramu...
29Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa mujibu wa taratibu, Nchi za Ulaya, Afrika na Jumuiya zake, hutuma waangalizi mbalimbali kwenye uchaguzi unaofanyika katika nchi mbalimbali ili kujiridhisha na mwenendo wa uchaguzi husika....
29Jan 2016
Nipashe
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, alitangaza msimamo wa tume hiyo kuwa ni kurudia uchaguzi huo baada ya kubaini kuwapo kwa dosari katika uchaguzi uliofanyika Oktoba...
28Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Msemaji wa Yanga, Jerry Muro alisema jana kuwa timu yao inaondoka leo asubuhi kwenda Tanga na safari ya Afrika Kusini iliyokuwa ifanyike kesho haitakuwapo tena.
Muro alisema baada ya Shirikisho...
28Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Msemaji wa Yanga, Jerry Muro alisema jana kuwa timu yao inaondoka leo asubuhi kwenda Tanga na safari ya Afrika Kusini iliyokuwa ifanyike kesho haitakuwapo tena.
Muro alisema baada ya Shirikisho...
28Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Malalamiko ya Simba yanakwenda sambamba na kuitaka TFF kupanga mapema ratiba ya mechi za viporo vya mapema kwa timu zote ili watakapokutana na mahasimu wao Yanga katika mchezo wa marudiano Februari...
28Jan 2016
Nipashe
Alitoa agizo hilo bungeni jana wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, aliyehoji kuhusiana na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
28Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Hatua hiyo imeshitua wadau wengi kutokana na uamuzi huo kuchukuliwa katika kipindi hiki ambacho nchi yetu iko katika ujenzi wa demokrasia.
Kupashana habari ni sehemu muhimu ya demokrasia na...
28Jan 2016
Nipashe
Deci iliyokuwa inawajaza wanachama wake ‘mahela’ kwa mtindo wa kupanda na kuvuna, iliwajengea matumaini makubwa lakini mwaka 2009 ilisababisha msononeko ambao haujasahaulika hadi leo.
Hilo...
28Jan 2016
Nipashe
Washtakiwa hao ni Robert Mwaipyana (32) na Ramadhani Mnekea (55), wote wakazi wa jijini Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali Charles Anindo aliwasomea mashitaka yao jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
28Jan 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Kikao hicho cha Kamati ya Utendaji kilifanyika kwa saa tatu kujadili suala la tarehe iliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya kurudia uchaguzi wa Zanzibar, uliofutwa Oktoba 28, mwaka jana...
28Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Chanzo cha tukio hilo ni kutokana na kauli ya serikali kwamba Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), halitarusha moja kwa moja vikao vya Bunge, jambo lililopigwa tangu kwenye kikao cha asubuhi na...
27Jan 2016
Nipashe
Awali, magazeti ya Uingererza, alikiwamo The Guardian liliandika kuwa Mwenyekiti Mtendani wa Man United, Ed Woodward, alimshawishi kocha huyo raia wa Uholanzi kujiuzulu nafasi hiyo baada kipigo...








