NIPASHE
02Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
*Kiungo huyo wa kimataifa kutoka Rwanda hakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga katika 12 zilizopita, wakishinda 8, sare 3 na kupoteza moja.
Niyonzima aliyekuwa anasumbuliwa na malaria na UTI, alikosa mechi ya Jumamosi pamoja na wakali wengine kadhaa wa Yanga wakiwamo kiungo Geofrey Mwashiuya na nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' na...
02Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
MARTHA BONAVENTURE
Martha (10) ni mshindi pekee wa kike kitaifa katika mtihani wa darasa la nne, 2015 katika wanafunzi kumi bora. Ni mwanafunzi ambaye sasa ameingia darasa la tano katika Shule ya Msingi Tusiime ya...
02Feb 2016
Nipashe
Shule nyingi za sekondari na msingi zina ukosefu mkubwa wa miundombinu ya kusomea kama vile madawati, vyoo vya kisasa na visima vya maji hali inayosababisha watoto kwenda umbali mrefu kutafuta maji...
02Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na TFF, hakuna uhasama kati ya pande hizo mbili bali "mawasiliano yanaendelea kati ya TFF na vyombo husika kuhakikisha ZFA ambaye ni mwanachama mshiriki wa CAF...
02Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Miongoni mwa maeneo hayo ni Magengeni, jirani na hospitali ya Mwananyamala na Makumbusho jijini Dar es Salaam. Yameharibika kiasi ambacho hata gari la wagonjwa likiwa limebeba mgonjwa ili...
02Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Sambamba na hayo, imesema hatua hiyo pia itaondoa ulaghai wa matumizi ya fedha hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei, alisema jana jijini Dar es Salaam jana kuwa hatua ya serikali...
02Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Baadhi ya wanafunzi hao pia wanalazimika kujisaidia katika choo cha shule kwa kupeana zamu baina ya wale wa jinsia ya kike nay a kiume, hali ambayo inawaweka katika mazingira magumu.
Mwalimu Mkuu...
02Feb 2016
Nipashe
Akizungumza jana kwa njia ya simu, Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Jumamosi iliyopita.
Sabas alisema Jennifer alijifungua Januari...
01Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Imeelezwa kuwa tukio hilo lilitokea baada ya mchezo huo wa kwanza wa duru la pili la Ligi Kuu Tanzania Bara kumalizika wakati Twalibu na wanachama wengine wa Yanga walipoanza kutoa shutuma kwa...
01Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
* Yanga imepoteza mechi yake kwanza Ligi Kuu Bara msimu huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga... Kocha Hans van Der Pluijm wa Yanga.
Kama ambavyo wapenzi na mashabiki wa Yanga kutotarajia kisago hicho cha kwanza msimu huu, ndivyo pia ilivyokuwa kwa bosi Hans van der Pluijm.
Akizungumza na gazeti hili kwa simu kuhusu mchezo huo,...
01Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Hata hivyo, wakati ligi hiyo ambayo mwishowe inatoa bingwa atakayeliwakilisha taifa katika michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika inazidi kushika kasi, tayari kuna malalamiko lukuki kuhusiana na...
01Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Waanawake Tanzania (Tamwa), Eda Sanga wakati wa mkutano wa mjumuiko wa mtandao wa mashirika yanayotetea haki za watoto wa kike...
01Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Lowassa akiwa katika ibada maalum ya kumwingiza kazini, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fedrick Shoo, alikutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na...
01Feb 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Askofu Dk. Shoo alisema hayo jana katika hotuba yake aliyoitoa mjini hapa katika ibada maalumu ya kuingizwa kazini iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Moshi...
01Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Waachiwa PAC, kazi zao zanyofolewa na kupelekwa kamati mpya PIC inayoongozwa na wabunge wa CCM
Kamati hiyo ni ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) ambayo imehamishiwa kwenye kamati mpya inayoongozwa na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika kufuatilia yanayoendelea kwenye...
30Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*Robo yake yatosha kugharimia matangazo ‘laivu’ ya Bunge TBC kwa miaka minne
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini Serikali italazimika kutumia Sh. bilioni 14.15 kwa ajili ya kuwalipa posho wabunge katika siku za vikao zinazokadiriwa kuwa 120 kwa mwaka, sawa na Sh. bilioni...
30Jan 2016
Nipashe
Watumishi hao ni kati ya watuhumiwa 15 wa TPA waliotangazwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kuwa wameshiriki kutorosha makontena na magari hayo kutoka katika...
30Jan 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Kishowa ni mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ambaye aliishupalia hoja hiyo bungeni na kuwang’oa baadhi ya vigogo wa serikali wakiwemo mawaziri.
Kafulila ndiye Mbunge wa kwanza...
30Jan 2016
Nipashe
Katika mabadiliko hayo pia Magufuli amemwondoa Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi hilo, Clodwing Mtweve na kumteua kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza.
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu...
30Jan 2016
Nipashe
Michezo ya Olimpiki 2016 itaanza rasmi Agosti 5 Rio de Jenairo, Brazil.
Katibu wa TOC, Filbert Bayi, alisema jana kuwa BFT inapaswa kuangalia na kupeleka Cameroon mabondia wenye uwezo ambao baada ya...








