Michezo »
WAKATI |Kocha Mkuu wa Simba Queens, Charles Lukula, amesema siri ya kuendelea kufanya vyema...
UONGOZI wa JKT Tanzania FC umeweka wazi kwa sasa tayari malengo yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi...
HUKU Wydad Casablanca kutoka Morocco ikiwa imewasili salama katika ardhi ya Tanzania, Simba...
WAKATI Yanga inaondoka leo kuelekea Nigeria, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi, amesema...
Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete, amekutana na wanaridha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki...

Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (Kulia) akizungumza na baadhi wa wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya chakula cha mchana muda mfupi kabla ya wateja hao kuelekea Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kushuhudia mechi ya Derby katika Simba na Yanga iliyofanyika mwishoni mwa wiki ikiwa muendelezo wa utaratibu wa benki hiyo kutoa fursa kwa wateja wake ambao ni wapenzi wa mchezo huo waweze kufurahia mechi za ligi Kuu ya Tanzania Bara inayodhaminiwa na benki hiyo.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Bank) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania...
Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imetoa zawadi ya tiketi za VIP A pamoja na jezi kwa...
WAKATI timu zao zikitarajiwa kukutana katika mechi ya dabi leo, wachezaji wa Clatous Chama,...
WANASEMAJE, ni kauli inayosubiriwa kutoka kwa mashabiki wa soka nchini baada ya kumalizika mechi...
Meridianbet kampuni ya ubashiri yenye ODDS KUBWA na za kibabe leo imeweza kutoa vifaa vya...
WAKATI ikitarajia kucheza mechi dhidi ya watani zao Simba kesho, Yanga itamkosa beki wake raia...
WAKATI uongozi wa Yanga ukimwita mezani kiungo, Feisal Salum 'Fei Toto' ili kumaliza sakata lake...











