Michezo »
KOCHA mkuu wa Simba, Robert Oliveira 'Robertinho' amesema atatumia siku 16 za mapumziko...
NI rasmi sasa Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, watacheza mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi ya...

Mwanamuzuki Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man akiwapagawisha wanafunzi wa shule ya sekondari Brilliant wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mwanamuzuki Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man alifanya onyesho la aina yake kwenye shule...
KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), imemsimamisha kwa muda Mkuu wa...
KOCHA wa Simba, Roberto Oliviera 'Robertinho' amekiri kuwa anapata wakati mgumu kuamua nani wa...
MKUU wa Shirikisho la Kandanda la Uhispania, Luis Rubiales (46) amekataa kujiuzulu kwa kitendo...
ILI kufikia malengo, benchi la ufundi la Simba limeandaa mazoezi maalumu kwa mabeki wake ili...
ILI kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya...
LICHA ya kupata ushindi katika mechi zake mbili ilizocheza za Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu...
KLABU ya JKT Tanzania imetangaza rasmi kuwa itautumia Uwanja wa Kambarage Shinyanga kama dimba...
KOCHA Mkuu wa Geita Gold FC, Hemed Suleiman 'Morocco', amesema suluhu waliyoipata kwenye Uwanja...

Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi NMB - Aikansia Muro akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 30 kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo - Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ikiwa ni udhamini wetu wa mwaka huu. Makabidhiano hayo yalishuhudiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Gofu Tanzania (TGU) - Gilman Kasiga; Kapteni wa Klabu ya Gofu ya Lugalo - Meja Japhet Masai na Meneja Mwandamizi wa Idara ya Wateja Binafsi NMB - Priscus Kavishe.
BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 30 wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi...










