Baadhi ya wafanyakazi wa The Guardian wakipatiwa elimu ya chanjo ya Uviko 19, huku wengine wakiwa tayari wameanza zoezi la kuchanja chanjo hiyo mapema Asubuhi ya leo katika ofisi zetu zilizopo Mikocheni mkoani Dar es Salaam.