KURASA JUNI 28, 2017 - POLISI WA USALAMA BARABARANI WATOA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MABASI

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam limewataka madereva wa mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani kuhakikisha kwamba wanafuata sheria za usalama barabarani na kuwa na subira ili kuepusha ajali .

Day n Time: 
Jumatano saa 11:55 Jioni
Station: