Makala »

05Jun 2016
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili

Baadhi ya wanafunzi Shule ya Msingi Lupemba wakiwa kwenye darasa mojawapo lililojengwa kwa miti na nyasi kabla shule hiyo haijafungwa kupisha ujenzi. Hii ilikuwa Februari, 2016. (PICHA: Maktaba)

HATIMAYE michango ya wadau wa elimu zikiwamo Sh. milioni 45 zilizotolewa na Mamlaka ya Mapato...

05Jun 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili

Spika wa BLW Zuberi Ali Mouludi

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), wamepitisha hoja binafsi wakitaka Chama cha...

05Jun 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili

naibu spika dk. tulia ackson

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, mapema wiki hii alitangaza kuwa...

05Jun 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili

KILA baada ya Uchaguzi Mkuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapopata matokeo kisiyoyatarajia,...

04Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Van Terry ‘akipaa’ juu ya meza ndani ya mahakama kumvaa muuaji wa binti yake, Michael Madison, dakika chache baada ya jaji kutangaza kutolewa kwa adhabu ya kifo.

NI kama sinema, lakini ni kweli,Baba wa binti aliyeuliwa na mtu mwenye rekodi ya makosa ya ngono...

04Jun 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi , Dk Turuka Kushoto akizindua ripoti ya hali ya biashara ya mazao ya GMOs, kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha SUA Profesa Gerald Monela.

WATAFITI na wanasayansi wa Marekani, wanaowekeza kwenye uzalishaji wa mazao yaliyobadilishwa...

03Jun 2016
Restuta James
Nipashe

Mkufunzi wa kazi za mikono wa Sido mkoa wa Dar es Salaam, Andrew Kiango.

SHIRIKA la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (Sido), ‘limemjibu’ Rais Dk. John Magufuli kwa vitendo,...

03Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

chai ya Kichina inayoitwa Da Hong Pao

Ni vigumu kuamini kwamba, kuna chai ya aina yake yenye gharama kuliko dhahabu. Ndio uhalisia...

03Jun 2016
Denis Maringo
Nipashe

Binadamu tumejaliwa akili na utashi unaotutofautisha na viumbe wengine na jambo hili ni wazi kwa...

02Jun 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe

pamba

TANZANIA inahitaji mikakati madhubuti na kuongeza mazao ya kilimo na uzalishaji kwa ajili ya...

02Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe

Mfugaji wa Mvomero, akiwaeleza wanahabari hali halisi ya mapgano katio yao na wakulima.

MIGOGORO ya ardhi inayoendelea katika maeneo tofauti nchini, imekuwa ikiwaathiri wakazi wake,...

02Jun 2016
Romana Mallya
Nipashe

Madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wakiendelea na kazi. (PICHA NA ROMANA MALLYA)

TANZANIA imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kwa kufanya upasuaji mkubwa wa moyo na...

Pages