Michezo »

15Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mshindi wa Jackpot Bonus, Charles Mremi kutoka Tabata, Dar es Salaam, akionyesha mfano wa hundi ya Sh. milioni 11.5 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13.

MKAZI wa Tabata Liwiti, Charles Ndechihiko Mremi, amejishindia kitita cha Sh. 11,555,580, ikiwa...

15Mar 2023
Saada Akida
Nipashe

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi.

WAKATI Yanga ikihitaji pointi tatu tu ili kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho...

15Mar 2023
Saada Akida
Nipashe

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Salim Abdallah.

ZIKIWA zimebaki siku mbili, Alhamisi na Ijumaa kabla ya Jumamosi kushuka Uwanja wa Benjamin...

14Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Meridianbet mabingwa wa ODDS kubwa na Kasino ya Mtandaoni kwa mara nyingine wametoa machaguo...

14Mar 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe

MAPEMA tu baada ya kumaliza majukumu yao ya mechi za Ligi Kuu Bara, Simba ikiirarua Mtibwa Sugar...

14Mar 2023
Adam Fungamwango
Nipashe

Kipa wa Timu ya Green Warriors, Fahad Idrisa (kushoto), akiokoa hatari kwa kuucheza mpira wa kichwa uliopigwa na mchezaji wa timu ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi ya Championship uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam juzi. JKT Tanzania ilishinda mabao 3-1. PICHA: JUMANNE JUMA

NI kama vile maafande wa JKT Tanzania wanahesabu siku tu kuweza kupanda daraja na kucheza Ligi...

14Mar 2023
Adam Fungamwango
Nipashe

KIUNGO mshambuliaji Feisal Salum 'Fei Toto'.

KIUNGO mshambuliaji Feisal Salum 'Fei Toto', ni miongoni mwa wachezaji 31 walioitwa kwenye...

13Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Msemaji wa Simba, Ahmed Ally.

WAKATI Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Manungu,...

13Mar 2023
Adam Fungamwango
Nipashe

Jean Baleke.

MABAO matatu 'hat-trick' aliyofunga straika Jean Baleke wakati wakishinda 3-0 dhidi ya Mtibwa...

13Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Ofa za Meridianbet kila siku zinakuwa ni maalum kwa kukunifaisha wewe mtaje, wao kwao ushindi...

13Mar 2023
Saada Akida
Nipashe

Fiston Mayele,

WAKATI miamba ya soka nchini, Simba na Yanga kila moja ikibakiza mechi moja kabla ya kukutana...

12Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

WAKATI Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro,...

Pages