Biashara »
MKUU wa Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Shinyanga, Wensesilaus Gumha, amewataka...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za...
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu,...
ZAIDI ya Sh. milioni 964 zimetumika katika ujenzi wa shule mbili za sekondari na msingi katika...
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limeongeza safari za treni za abiria zinazofanya safari kutoka...

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Joseph Mkude (kushoto), akikagua pembejeo za kilimo ikiwamo mbolea za kupandia na kukuzia mazao, ambazo zitagawiwa kwa wananchi 556 katika Kijiji cha Ngunga wilayani humo, ambao wamepitiwa na mradi wa umeme wa jua, ili wafanye kilimo chenye tija na kupata mavuno mengi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Dk. Sabinusi Chaula. PICHA: SHABAN NJIA
WAKULIMA wa pamba kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa wametaja mvua ya El-Nino inayoendelea kunyesha...
MKUU wa Wilaya ya Hanang, Janeth Mayanga leo amepokea msaada mbalimbali ya waathirika wa...

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, (katikati), akisaini mkataba wa ushirikiano na Karambezi Café iliyopo Masaki.Kulia wa kwanza ni Peter Selane, Meneja Mkuu wa Karambezi, na kushoto wa kwanza ni Andrew Lyimo, Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na biashara za kati wa Exim Bank Tanzania.
Benki ya Exim imeungana na mgahawa wa Karambezi, kutoa punguzo la asilimia 10 msimu wa sikukuu...

Rais Dk. Samia Suluhu Hassani (Kushoto) akikabidhi tuzo ya heshima na utambuzi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi (katikati) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha msimu wa 17 wa tuzo za Rais za Wazalishaji Bora wa Viwanda (PMAYA) sambamba na kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta ya viwanda nchini kwa ujumla kupitia huduma zake za kifedha. Hafla ya utoaji wa tuzo hizo zilizoratibiwa na Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki ya NBC ni mdhamini mkuu wa tuzo hizo za kila mwaka kwa mwaka wa pili mfululizo. Kulia ni Mwenyekiti wa CTI Paul Makanza.
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi ya tuzo ya heshima kwa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)...
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete,...
Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Gilead Teri na Ilse Boshoff Mkurugenzi wa kampuni ya Knauf Kanda Afrika Mashariki wakipeana mikono kama ishara ya kupokea msaada wa vifaa vya ujenzi kutoka Kampuni ya Knauf unaokwenda kwa wahanga wa mafuriko ya maporomoko ya mlima wa Hanang, Mkoani Manyara. Msaada huo umetolewa katika Ofisi za TIC Dar es Salaam.
Kampuni ya uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ya Knauf Gypsum Tanzania imeungana na Kituo Cha...







