Biashara »

14Dec 2023
Marco Maduhu
Nipashe

WANANCHI wa Kijiji cha Ngunga wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, ambao wamepitiwa na mradi wa...

13Dec 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe

CHAMA cha Taaluma ya Sayansi Kilimo Mazao Tanzania (CROSAT), kimesema bado matumizi ya mbegu...

13Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa Idara ya Wateja wadogo na Wakubwa wa benki ya NBC, Bw Elibariki Masuke (Katikati) sambamba wawakilishi wa kampuni za Samsung, Auto Express, AG Energies, Samaki Samaki, ABC Emperio ambao ni wadau wa benki hiyo wakizindua kampeni ya pamoja ya msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka inayofahamika kama "Tabasamu Tukupe Mashavu," inayotoa fursa kwa wateja wa benki hiyo kufurahia pamoja na wapendwa wao kupitia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu, vocha za manunuzu na punguzo la bei kwenye huduma mbalimbali za kijamii na manunuzi ya vifaa vya kielectoriniki.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka...

13Dec 2023
Shaban Njia
Nipashe

MVUA zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali wilayani kahama mkoani Shinyanga, zimesababisha ng...

12Dec 2023
Shaban Njia
Nipashe

SERIKALI mkoani Shinyanga imeridhishwa na ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Ushetu...

12Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki, baada ya Hati Fungani ya NMB Jamii...

12Dec 2023
Munir Shemweta
Nipashe

KAMISHNA wa Ardhi Msaidizi mkoani Tabora, Hussein Sadiki, ametatua mgogoro wa muda mrefu kati ya...

12Dec 2023
Rahma Suleiman
Nipashe

WAKATI bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya ndege zikiwa zimeshuka kwa mwezi huu wa...

11Dec 2023
Neema Hussein
Nipashe

UTOAJI wa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia umeongezeka kutoka asilimia 12 hadi kufikia...

10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Mshindi wa shindano la Maokoto kutoka Wilaya Kilosa linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Martha Manywa (kulia) akipokea hundi ya mfano ya TSh 500,000 kutoka kwa Shomari Mohammed Mwakilishi wa mauzo wa kampuni ya SBL (kushoto), hafla ya kukabidhi zawadi hiyo imefanyika katika bar ya Comer Pub iliopo Dumila Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro siku ya ijumaa.

Washindi mbalimbali wanaendelea kujishindia maokoto kupitia vizibo, zoezi linaloendeshwa na...

08Dec 2023
Gideon Mwakanosya
Nipashe

Naibu Waziri wa kilimo David Silinde akipata maelezo toka kwa mmoja wa wakulima wa zao la Kahawa wa Kata ya Wino katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba ambako Taasisi ya Utafiti ya zao la Kahawa( TaCRI) kituo cha UGANO Wilayani Mbinga kimeweza kutoa mafunzo ya elimu ya kilimo cha zao la Kahawa ambao wameweza kuandaa vitalu vya miche ya kahawa aina ya Kompakti ambayo inagawiwa bure kwa wakulima.

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema serikali kupitia wizara hiyo imejipanga kuongeza...

07Dec 2023
Daniel Limbe
Nipashe

SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita, imetoa siku 60 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya...

Pages