Biashara »

23Nov 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Adam Malima, akiongea na Waandishi wa Habari wa mkoa huo kuhusu Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani. Picha na Ashton Balaigwa.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kufungua Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambapo...

23Nov 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe

MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Rehema Sombi, amesema umoja...

23Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa pili Kulia) akizungumza na baadhi ya maofisa wa benki ya Exim Tanzania akiwemo Meneja Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo Kauthar D’Souza (wa pili kushoto) na Meneja wa Benki hiyo tawi la Mt.Meru, Arusha Eliud Massaga (kushoto) wakati alipotembelea banda la maonesho la benki ya Exim muda mfupi kabla ya kufungua Maadhimisho ya Wiki ya Huduma ya Fedha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jana.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameonyesha kuvutiwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Benki ya...

23Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima (wa tatu kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Dumila lililopo mkoani Morogoro, wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kushoto), Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia), Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu (kulia), Meneja Uendeshaji Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dodoma, Lilian Silaa (kushoto) na wa pili kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Janeth Shango.

Wananchi wa Mji wa Dumila Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wameondokana na adha ya kutembea...

22Nov 2023
Hamida Kamchalla
Nipashe

WAKALA wa Barabara nchini (TANROADS) wametakiwa kuzishirikisha Tawala za Mikoa na Serikali za...

22Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas (wa pili kulia), akipokea sehemu ya mizinga 200 ya kufugia nyuki kwa ajili ya vikundi vya ufugaji vya wilaya za Gairo na Kilombero, kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Alfred Shao, wakati wa uzinduzi wa kitaifa wa Programu ya ugawaji mizinga hiyo kwa wafugaji wa mikoa ya Morogoro, Tabora na Njombe. Uzinduzi huo ulifanyika katika msitu wa Msingisi uliopo eneo la Kijiji cha Msingisi, wilayani Gairo. Wa pili kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Janeth Shango na kulia Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Jabir Makame.

Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye...

22Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo ( wa pili kushoto) , Afisa Rasilimali Watu Mkuu wa Benki ya maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Bi. Jacqueline Minja (wa tatu kushoto), wakikabidhi mfano wa hundi kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) waliofanya vizuri zaidi ikiwa ni kama motisha kwao. Wanaoshuhudia kushoto ni Makamu Mkuu wa chuo SUA Prof Raphael Chibunda na kulia ni baadhi ya wafanyakazi wa TADB.

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo...

21Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Timu ya Wataalam wa Wizara ya Madini ikiongozwa na Katibu Mkuu Kheri Mahimbali inashiriki katika...

19Nov 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili

VIONGOZI wa Senet ya vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Shinyanga wa Umoja wa Vijana (UVCCM), wamefanya...

18Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi wa mazingira katika...

17Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea...

16Nov 2023
Paul Mabeja
Nipashe

OFISA afya wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ismail Wabu, amenusurika kifo baada ya kuvamiwa...

Pages