Biashara »
OFISA Polisi Jamii mkoani wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Ramadhani Sarige amewata...
CHAMA cha Mapindizi (CCM), kimeonyesha kuridhishwa na uongozi wa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein...
Benki ya NMB Kanda ya Kusini imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa kanda hiyo ijulikanayo...
Wataalam wapatao 20 kutoka Wizara ya Madini na Taasisi zake wameanza rasmi mafunzo ya kuwajengea...

Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza James Alphaxard, akizungumza na wateja wa vinywaji ya kampuni hiyo ya bia kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho, kulia ni mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza Melina Francis, ambapo alikabidhiwa mfano wa hundi ya Shilingi laki tano.
Chama cha Masoko na Sayansi cha Tanzania (TMSA) kilifanikiwa kuandaa Mkutano wa Nne wa Kila...
MKUU wa Operesheni wa kikosi cha Usalama barabarani Tanzania, Kamishina Msaidizi wa Polisi...
WATAALAM wa misitu kutoka nchi 10 waliokutana jijini Arusha hivi karibuni, kujadili umuhimu wa...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (usimamizi wa uchumi) Elijah Mwandumbya (kati kati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mpango Mkakati wa miaka mitano (2023-2027) pamoja na huduma mpya za kifedha za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Frank Nyabundege na kulia ni Hawabai Abdulla ambaye ni afisa mwandamizi wa masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi kutoka TADB.
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) limezindua Mpango Mkakati wake wa miaka mitano (...
Imeelezwa kwamba Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi ambayo inatekelezwa kwa pamoja kati ya...
Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Monica Hangi amewaomba Wanawake...
Watanzania wana kila sababu ya kufurahi kwa kuwa sasa watakuwa na nafasi bora zaidi za kuchagua...







