Biashara »

01Nov 2023
Alphonce Kabilondo
Nipashe

Mhandis Robert Gabriel Luhumbi

HALMASHAURI Kuu ya chemba ya wafanyabiashara, kilimo, na viwanda mkoani Geita (TCCIA),...

30Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibi)Ummy Nderianaga .

Programu ya kuendeleza kilimo na Uvuvi (AFDP) imewezesha Tafiti za Kiteknolijia kupitia Taasisi...

30Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania anayeshughulikia Uthibiti na Ustawi wa Sekta ya Fedha Sauda Msemo (kati kati) akizindua muongozo wa programu ya mafunzo ya ukopeshaji kwenye kilimo yanayodhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Walioshika muongozo huo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania Frank Nyabundege (wa pili kushoto) na Dk. Genuine Martin kutoka Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania (wa pili kulia) wakati wa uzinduzi wa program ya mafunzo ya ukopeshaji kwenye kilimo iliyofadhiliwa na TADB. Anayeshuhudia kushoto ni mkurugenzi wa Fedha wa TADB Dk. Kanaaeli Nnko na kulia ni Mussa Sadat ambaye ni mkurugenzi wa usimamizi wa sekta ya fedha wa BoT.

 Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Chuo cha Benki Kuu (BoT...

30Oct 2023
Marco Maduhu
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme, amemuagiza Mkandarasi kutoka Kampuni ya Sinohydro...

29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

WATOA huduma, wasambazji na wataalamu katika sekta ndogo ya mafuta na gesi asilia nchini...

29Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuph.

WAFANYABIASHARA wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, wameiomba serikali kuendelea kuwahakikishia...

29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

KAMPUNI za Hunan Xi Yue Culture Media Co na Hunan Xi Yue International Tradind Co Limited...

27Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wametakiwa kujiwekea utaratibu...

27Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imeendelea kuhamasisha Ufugaji wa kisasa, ikiwa...

26Oct 2023
Beatrice Shayo
Nipashe

Meneja wa mradi endelevu TBL, Siya Mbuya.

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imeanzisha Mpango wa Maendeleo ya Rejareja (RDP) kwa ajili ya...

26Oct 2023
Mary Geofrey
Nipashe

BENKI ya I&M imezindua huduma mpya ya mikopo binafsi isiyokuwa na masharti ikiwamo ada ya...

26Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe

MKUU wa mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewataka wananchi kuchangamkia fursa mbalimbali za...

Pages