NIPASHE

11Jan 2016
Editor
Nipashe
Ingawa idadi ya timu shiriki imepungua kutoka 13 mwaka jana hadi nane, michuano hiyo mwaka huu imekuwa na msisimko na ushindani mkubwa. Imeshuhudiwa timu ndogo ya Jamhuri ya Pemba ikitoka sare ya...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad

11Jan 2016
Nipashe
Aidha, Azaki imewataka viongozi wanaohusika na majadiliano hayo, watumie siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwatangazia wananchi hatma ya mgogoro huo. Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako

11Jan 2016
Nipashe
Prof. Ndalichako aliyabaini hayo katika utafiti alioufanya kwa mwaka mmoja na kuapa kuwa atashirikiana na wenzake kufanya marekebisho makubwa katika sekta hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalum...
11Jan 2016
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, alipokuwa akizungumza na Nipashe baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi yaendayo...

Meli ya Mv. Serengeti ikiwa imetia nanga baada ya kutokea hitilafu

11Jan 2016
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli, Winton Mwassa, alisema mpiga mbizi wa meli hiyo, Sami Kayengele, alisema tatizo lililosababisha meli hiyo...

Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Dk. Lutengano Mwakahesya,

11Jan 2016
Nipashe
“Makandarasi watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo, mikataba yao itasitishwa na watanyimwa fursa ya kushiriki kwenye zabuni za miradi mingine ya kusambaza umeme vijijini.”
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Dk. Lutengano Mwakahesya, alisema kumekuwa na malalamiko ya rushwa kwa watoa huduma mbalimbali za umeme, hivyo...

Rais Dk. John Magufuli

11Jan 2016
Nipashe
Aidha, Prof. Ndalichako amewatake wamiliki wa shule binafsi kujitathmini. Itakumbukwa kuwa serikali ilipoanzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekonari mwaka 2000, lengo lilikuwa ni...

Dk Slaa

11Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Taarifa kutoka ndani ya Chadema jana, ilieleza kuwa viongozi wa juu wa Chadema akiwamo Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, walikuwa wakiendelea na vikao vyao mjini Moshi, Kilimanjaro hadi jana...
08Jan 2016
Nipashe
Samatta aliondoka nchini juzi akisindikizwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kutoa mwanasoka kuingia hatua ya mwisho...
08Jan 2016
Nipashe
Kutokana na kuonyesha kiwango kizuri na kuipa timu yao taji la tatu la michuano hiyo, vijana hao waliamini na kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza. Miongoni mwao ni straika anayeibeba Simba...
08Jan 2016
Nipashe
Azam imeshindwa kutinga nusu-fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya mwaka jana kung'olewa robo-fainali kwa matuta dhidi ya Mtibwa...
Kipigo hicho kutoka kwa timu hiyo iliyoonekana 'kibonde' wa Kundi B la michuano hiyo mwaka huu, kiliifanya Azam FC imalize hatua ya makundi ikiwa mkiani na pointi mbili baada ya kutoka sare ya 1-1...

Katibu Mkuu wa CUF. Maalim Seif Shariff Hammad

08Jan 2016
Nipashe
“Hatua ya kufungua kesi kupiga serikali ya awamu ya saba kuendelea kubakia madarakani sawa na kupoteza muda kutokana mfumo wa sheria Zanzibar kuathiriwa na mgogoro wenyewe ambao umetokana na kuvunjwa...
08Jan 2016
Nipashe
Chanzo kutoka ndani ya Nemc kimeiambia Nipashe kuwa Suguti ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria katika baraza hilo, alianguka ofisini kwake majira ya saa 9:30 alasiri baada ya kurejea kutoka katika...

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa

08Jan 2016
Nipashe
Mkapa alitoa kauli hiyo jana baada ya kukutana na Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumtakia heri ya Mwaka Mpya. Akizungumza baada ya mazungumzo na Rais Magufuli, Mkapa...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako

08Jan 2016
Nipashe
Prof. Ndalichako aliyasema hayo jana alipokutana na uongozi wa Necta na kuuweka kitimoto kwa dakika 42, huku wakijikanyaga juu ya sababu zilizofanya kubadili mfumo wa ufaulu kutoka kwenye ule wa...

Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Joseph Masikitiko

08Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hatua hiyo ya TBS inatokana na sampuli za maabara kuonyesha mafuta hayo kuwa na kemikali zenye madhara kiafya, mazingira na viwango duni. Sambamba na hatua hiyo, TBS imezuia shehena ya mafuta ya...
08Jan 2016
Nipashe
"Polisi walipofungua chumba walikuta godoro liko chini lakini kitandani lilipopaswa kuwa kulikuwa na mwili wa mwanamke ukiwa umefunikwa shuka..."
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa, watu hao walienda katika nyumba hiyo ya kulala wageni iliyopo eneo la Hamugembe Januari 3,...
07Jan 2016
Nipashe
Gharama hizi ni kubwa mno kwa wananchi na watumishi wakati mradi huo ulilenga kumrahisishia mtumishi wa serikali anayeishi nje ya jiji...
Waziri Mkuu alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana akitokea mkoani...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Watumiaji Huduma za SUMATRA (SUMMATRA- CCC), Dk. Oscar Kikoyo

07Jan 2016
Nipashe
Huduma katika kipindi cha mpito zimepangwa kuanza Jumapili wiki hii. Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA, Gilliard Ngewe, alitoa rai hiyo juzi baada ya nauli zilizopendekezwa na Kampuni ya UDA Rapid...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba

07Jan 2016
Nipashe
Sambamba na hatua hiyo, amewafukuza kazi viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika vya wakulima wa tumbaku, waliojaribu kujimilikisha matrekta yaliyokopwa na vyama vyao. Nchemba alitoa kauli hiyo...

Pages