Michezo »

26May 2023
Saada Akida
Nipashe

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Mkenya Patrick Odhiambo, anatajwa kurejea nchini ili...

25May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na...

25May 2023
Adam Fungamwango
Nipashe

YANGA imefunga mabao 15 katika mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, huku nyota...

25May 2023
Shufaa Lyimo
Nipashe

BAADA ya kuvuliwa ubingwa, benchi la ufundi la Simba Queens, limesema linajipanga upya...

25May 2023
Hadija Mngwai
Nipashe

HUKU ikiwa katika hatari ya kushuka daraja, Polisi Tanzania imesema itapambana kwa 'jasho na...

24May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana (wa tatu kulia) akikabidhi cheti cha utambuzi wa ushiriki kwa Mkuu wa Matawi wa Kanda Benki ya Exim Elizabeth Mayengoh (wa tatu kushoto) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango mkuu wa benki hiyo katika kufanikisha mashindano ya wazi ya golf ya wanawake ya Lugalo Ladies Open 2023 wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Klabu ya Golf ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Wengine ni pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo (wa pili kulia), Rais wa Chama cha Mchezo wa Golf cha Wanawake Tanzania (TLGU) Bi. Queen Siraki na wadau wengine wa mchezo huo.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Balozi Dk. Pindi Chana amepongeza jitihada za Benki ya...

24May 2023
Sabato Kasika
Nipashe

AZAM FC imesema kwa sasa hawaifikirii fainali ya kombe la Shirikisho (FA) badala yake akili zao...

24May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Balozi Dk. Pindi Chana amepongeza jitihada za Benki ya...

24May 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe

UONGOZI wa klabu ya Simba umesema una uwezo wa kufanya usajili wa mchezaji yeyote wanayemtaka...

24May 2023
Saada Akida
Nipashe

KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema amefahamu ubora na udhaifu wa wapinzani wao wa mchezo wa...

23May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Viongozi na wadhamini mbali mbali wa mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 wakionyesha alama ya uendo wakati wa uzinduzi wa mbio hizo unaotarajia kufanyika Dodoma Julai 23.

BENKI ya NBC imetangaza kufanyika kwa mbio kubwa za NBC Dodoma Marathon mwaka 2023 siku ya...

23May 2023
Saada Akida
Nipashe

KOCHA wa Simba, Robert Oliveira 'Robertinho', amewaambia mabosi wa timu hiyo anataka...

Pages