Habari »

06Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba.

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amewapa mtihani Maafisa Ugani kwamba wataanza kupimwa...

06Feb 2024
Anaeli Mbise
Nipashe

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeshiriki katika maonyesho ya 52 ya...

05Feb 2024
Julieth Mkireri
Nipashe

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Kibaha mkoani Pwani wamesema mfumo wa ufundishaji masomo kwa...

05Feb 2024
Marco Maduhu
Nipashe

Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA Mkoa wa Shinyanga wakisaini Mikataba 7 ya ujenzi wa Miradi ya Maji na Wakandarasi itakayotekelezwa katika wilaya tatu za Kahama, Shinyanga na Kishapu.

WAKALA wa Majisafi na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoani Shinyanga, wamesaini Mikataba...

05Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kevin Kariuki (wa pili kushoto) na ujumbe wake alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma leo Februari 05, 2024. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na...

05Feb 2024
Shaban Njia
Nipashe

SHIRIKA la Sheria na Maendeleo Tanzania (WiLDAF), limekabidhi vifaa vya kufanyia kazi kwa...

05Feb 2024
Imani Nathaniel
Nipashe

Hemed Mrisho.

UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu  uchumi ya mfanyabiashara, Hemed Mrisho, umedai kuwa  ...

05Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Zubeir Ali Maulid.

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Zubeir Ali Maulid amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

05Feb 2024
Mary Geofrey
Nipashe

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Jabiri Bakari.

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema licha ya kuwapo kwa wahalifu wa mitandao, kuna...

05Feb 2024
Christina Haule
Nipashe

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza.

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Morogoro, imemkamata na kumfikisha...

05Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mwenyekiti wa Bodi ya shule za St Marys Dallas Mhoja akimpa cheti na zawadi ya fedha taslim mwalimu wa shule ya sekondari St Mary’s Mbezi Beach Angel Focus, baada ya shule hiyo kufanya vizuri kwenye mkitihani ya kidato cha nne kufanikiwa kutoa wanafunzi wengi wa daraja la kwanza na daraja la pili. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa bodi, John Kibona.

WANAFUNZI waliomaliza  kidato cha nne kwenye shule ya sekondari St Mary’ s Mbezi Beach na...

05Feb 2024
Christina Mwakangale
Nipashe

WATOTO wawili, mwenye umri wa miaka saba na mwingine mitano, wenye uzito uliopitiliza...

Pages