Maoni ya mhariri »

30May 2016
Mhariri
Nipashe

LIGI kuu Tanzania bara imemalizika hivi karibuni na kushuhudia Yanga ikitwaa ubingwa.

29May 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili

ZIPO taarifa kuwa Shirika la Umeme (Tanesco), limefanikiwa kupunguza wizi wa nishati hiyo kwa...

28May 2016
Mhariri
Nipashe

MSIMU huu ni timu pekee iliyofanya vizuri zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati,...

27May 2016
Mhariri
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo zinazoikabili nchi yetu kwa sasa ni kushuka kwa kiwango cha elimu.

26May 2016
Mhariri
Nipashe

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema kuwa kwa siku mbili inatarajia kuokoa Sh....

25May 2016
Mhariri
Nipashe

MATUKIO ya vitendo mbalimbali vya uhalifu yakiwamo mauaji yameendelea kushamiri katika Mkoa wa...

24May 2016
Mhariri
Nipashe

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amedokeza jinsi Wabunge wachache wanavyofanya vitendo ambavyo...

23May 2016
Mhariri
Nipashe

LIGI Kuu Bara imefikia tamati jana kwa timu zote kushuka dimbani baada ya kuchezwa takribani kwa...

22May 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli aliendeleza kasi yake ya kudhihirisha...

21May 2016
Mhariri
Nipashe

KIKOSI cha Yanga kimerejea nchini jana mchana kikitokea Angola huku wawakilishi hao wa taifa...

20May 2016
Mhariri
Nipashe

JUZI usiku watu wasiojulikana waliwaua watu watatu akiwamo imamu msaidizi wakati walipokuwa...

19May 2016
Mhariri
Nipashe

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ametoa angalizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya, akiwataka...

Pages