Habari »

05Jan 2016
Nipashe

Watu wanane akiwamo Msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, Inspekta...

04Jan 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe

Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemtaka aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na...

04Jan 2016
Nipashe

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema bajeti ya uchaguzi mkuu wa marudio wa Zanzibar...

04Jan 2016
Nipashe

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa

Zaidi ya abiria 1,000 wa treni ya abiria waliokuwa wakielekea Dar es Salaam, jana walikwama...

04Jan 2016
Nipashe

Wanajeshi wa JWTZ wakifanya usafi Zanzibar

Sherehe za kuhadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeanza visiwani hapa kwa viongozi wa...

04Jan 2016
Nipashe

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano), January Makamba (kulia), akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

Program ya kitaifa ya kupanda na kutunza mazingira inaanza mwezi huu.

02Jan 2016
Nipashe Jumapili

BIASHARA ya gereji ya Wachina ni moja ya nyumba 600 zilizowekwa alama ya X kwa ajili ya...

02Jan 2016
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Suleiman Jafo

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imesema itawashughulikia Wakurugenzi wa...

02Jan 2016
Nipashe Jumapili

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba,

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba, amewasimamisha kazi, Mkuu wa mnada wa...

02Jan 2016
Nipashe Jumapili

wagonjwa wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Muhimbili

WATU waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI...

31Dec 2015
Sema Usikike

Bomoabomoa kwenye jengo lililojengwa kinyume cha sheria

WAKATI serikali ikijiandaa kwa zoezi la kubomoa zaidi ya 8,000 kesho, maelfu ya wakazi...

31Dec 2015
Taifa Letu

Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akichunga ng'ombe wake mkoani Tanga hivi karibuni.

HATUA ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Pages